Simulizi ya kweli ya Ghati na Rhobi from jinsi ya kupata namba ya nida Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Simulizi ya Kweli ya Ghati na Rhobi ni filamu ya uhuishaji ya dakika tano inayolenga kuongeza uelewa juu ya ukeketaji. Inaeleza simulizi ya kuvutia ya wasichana wawili (Ghati na Rhobi) ambao walikaataa ukeketaji kwenye jamii yao. Wasichana hawa walionyesha ujasiri kwa kusema hapana kwa ukeketaji, kitendo ambacho walisikia kina maumivu makali ambapo wasichana kadhaa hufariki kutokana nacho. Kwa msaada wa wazee katika jamii yao, walibadilisha mitazamo juu ya kipindi cha mpito cha msichana kutoka u